Monday, December 15, 2008

KARIBUNI MEMBERS!!

KARIBUNI SANA!

Nimefikia uamuzi wa kufungua site hii kutokana na kwamba kwa wakati huu, sisi ambao ma-PGD-CCS, Tunazimiss sana zile email za kufowardiana na kutakiana best wishes na mambo kama hayo.Si mnakumbuka zile email za Jane Langoi, Chenga, Kianda na wengineo?

Sasa, hii site hapa tutakuwa tunaitumia (sisi tuu) kwa ajili ya kupostiana messages mbalimbali na hata picha.

Ili uweze kupost contents zozote kwenye site hii inabidi nikupe username na password yako. Hii itakubidi uwe na email kwenye gmail. Anyway, pa kuanzia, nyie ma PGD-CCS mnaohitaji nitumieni email zenu kwenye savedlema2@yahoo.com.

Wafahamishe na wengine,
May the Lord help us all to become great people in the IT field.

Frank Lema
Admin.