Tuesday, March 3, 2009

CODES NDIO ZIMEANZA HIVYO, NA .......


Hi all!!

We thank God for bringing us back again for this second semester.

Ninaona mambo yameanza ku-cotton fire hapa, codes zimetuzunguka kila mahali, full day! Ila sasa matokeo yake ndiyo kama tena tunavyomwona huyu mheshimiwa hapa! Naona program yake ilikuwa imefikia kwenye "vb Tab" ikabidi aweke space kidogo!!
**Kutoa maoni yako kuhusu hii click "comments" na ukishaandika,click "Anymous" kisha click post.