KARIBUNI SANA!
Nimefikia uamuzi wa kufungua site hii kutokana na kwamba kwa wakati huu, sisi ambao ma-PGD-CCS, Tunazimiss sana zile email za kufowardiana na kutakiana best wishes na mambo kama hayo.Si mnakumbuka zile email za Jane Langoi, Chenga, Kianda na wengineo?
Sasa, hii site hapa tutakuwa tunaitumia (sisi tuu) kwa ajili ya kupostiana messages mbalimbali na hata picha.
Ili uweze kupost contents zozote kwenye site hii inabidi nikupe username na password yako. Hii itakubidi uwe na email kwenye gmail. Anyway, pa kuanzia, nyie ma PGD-CCS mnaohitaji nitumieni email zenu kwenye savedlema2@yahoo.com.
Wafahamishe na wengine,
May the Lord help us all to become great people in the IT field.
Frank Lema
Admin.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Haya haya sasa ma-PGD ndo kwanza 2 na anza yani kama ingekua ni java bc badoha2ja declare code 2be excuted. sasa 2rudi kwa huyo jamaa yetu hapo aliyefumwa na cameraman we2 akiwa ameuchapa class. habari kutoka kwa rafiki wake wa karibu zinasema kuwa jamaa huyo (jina2nalo) alikua amekula wali mkavu (bila mboga) wa tsh500/= unaopatikana ktk moja ya cafteria zetu hapa chuoni halafu akashushia na pepsi ya baridi rafiki huyo aliendelea kulonga kua yote yalikua tisa kumi nipale jamaa huyo alipochafua haliya hewa huku akiwa ameuchapa bila kujitambua. juhudi za kumsaka jamaa huyo ili athibitishe tuhuma hizo ziligonga mwamba baada ya simu yake ya kiganjani kuita tu bilakupokelewa. By. Hon.Eng.kj (ADCS)
Post a Comment